Forum Navigation

SLEEPING PARALYSIS

Quote

Ni ile hali ambayo mtu anaipitia akiwa amelala na kujihisi kama amekabwa na jinamizi na hivyo ananishindwa kufanya chochote kile kwa muda huo ( kusogeza mkono, mguu na wala kuongea).

Advertise here

Sas iyo ni hali ya kibiologia zaidi na sio ki shirikina kuwa mwili kuna jinsi unaweza kupitia ukiwa umelala.

error: Content is protected !!