Quote from dr.vitamins on May 6, 2024, 8:36 amNi ile hali ambayo mtu anaipitia akiwa amelala na kujihisi kama amekabwa na jinamizi na hivyo ananishindwa kufanya chochote kile kwa muda huo ( kusogeza mkono, mguu na wala kuongea). Sas iyo ni hali ya kibiologia zaidi na sio ki shirikina kuwa mwili kuna jinsi unaweza kupitia ukiwa umelala.
Forgot your password?