Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Login/Register
Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Menu
Forum Navigation
Forum
Activity
Forum breadcrumbs - You are here:
Foodova Forum
Foodova®: Food Tech Forum
MATUMIZI SAHIHI YA P2
Post Reply
Post Reply: MATUMIZI SAHIHI YA P2

Quote from dr.vitamins on April 27, 2024, 5:18 am
p2 /contraceptive pill 💊 hizi ni dawa ambazo zinatumika kwaajili ya uzazi wa mpango na zinatumika kwa maelekezo mahalumu kutoka kwa daktari Lakini imekuwa mazoea na utaratibu wa watu wengi ususani wanafunzi wa chuo kutumia dawa hizi za p2 kwaajili ya kujikinga na mimba zisizo zakutajarijia lakini kwa starehe zao bila kufata maelekezo kutoka kwa daktari na bila kujua madhara yake. Hakuna dawa ya kiwandani ambayo haina madhara (side effects) kwenye mwili wa binadamu na ime repotiwa na waandishi wengi wa afya na kubainisha madhara makubwa sana yapo yakitokana na matumizi mabaya ya p2. Madhara ambayo unaweza kupata tokana na matumizi mabovu ya p2 ni kama yafuatayo

Kubadilika kwa mfumo wa edhi, wanawake wengi wamethibitisha kuwa wakitumia p2 mfumo wao wa edhi kubadilika na hivy kutojua mzunguko wao vizuri na hiyo ni kwasababu p2 zinaaribu mfumo wa homoni zako.

Kupata maumivu makari sana kipindi cha edhi, kunakuwa na maumivu makali sanaaa mithiri ya kuungua na moto chini ya kitovu muda wa edhi kwa wanawake

Kuaribu kizazi, inasemekana ukitumia p2 vibaya na mala kwa mala kwa muda mrefu inaweza kuaribu kizazi ususana mayai kwenye ovary na hivy kupelekea kutopata mtoto (ugumba).

NB: Ukifanya ngono ambayo sio salama na mwenzi wako jitahid kupata ushauri mzuri kutoka kwa daktari lakini cha mihimu inapaswa kutumia kinga (condom) ili kuepuka mdahra makubwa yatokanayo na matumiza ya p2

Cancel
Login
Username or E-mail

Password

Login
Remember Me
Forgot your password?
Login with Google
error:
Content is protected !!
Insert/edit link
Close
Enter the destination URL
URL
Link Text
Open link in a new tab
Or link to existing content
Search
No search term specified. Showing recent items.
Search or use up and down arrow keys to select an item.
Cancel