Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Login/Register
Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Menu
Forum Navigation
Forum
Activity
Forum breadcrumbs - You are here:
Foodova Forum
Foodova®: Food Tech Forum
Did you know 🤔
Post Reply
Post Reply: Did you know 🤔

Quote from Omari Kitula on March 17, 2024, 1:34 pm
Kitaalamu kuna kitu tunaita antinutrional factors , moja ya hizi antinutrional factors zinazopatikana ndani ya maharage ya soya ni isoflavones. Isoflavones zikiingia kwenye mwili zinaenda kubadilishwa kuwa phytoestrogen . Phytoestrogen ni hormone inayopatikana katika mimea ambayo inafanana na oestrogen hormone kwa binadamu . Katika kiwango cha juu zaidi cha isoflavones kinaweza kusababisha ongezeko la uzalishaji wa hormone oestrogen na kupunguza uzalishaji wa hormone za kiume ziitwazo testosterone, hii ni baada ya uchunguzi ulifanya na mwanasayansi na professor katika ndaki ya teknolojia na sayansi ya chakula aitwaye Melissa Wdowik Hivyo basi ongezeko la hormone za kike pamoja na upungufu wa hormone za kiume unaweza kukupelekea kuwa na tabia za kike.

Cancel
Login
Username or E-mail

Password

Login
Remember Me
Forgot your password?
Login with Google
error:
Content is protected !!
Insert/edit link
Close
Enter the destination URL
URL
Link Text
Open link in a new tab
Or link to existing content
Search
No search term specified. Showing recent items.
Search or use up and down arrow keys to select an item.
Cancel