Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Login/Register
Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Menu
Forum Navigation
Forum
Activity
Forum breadcrumbs - You are here:
Foodova Forum
Foodova®: Food Consumer Stories
Vitu 3 Muhimu vya Kuzingatia Kabl …
Post Reply
Post Reply: Vitu 3 Muhimu vya Kuzingatia Kabla ya Kununua Bidhaa ya Chakula
<blockquote><div class="quotetitle">Quote from <a class="profile-link highlight-moderator" href="#">Omari Kitula</a> on July 18, 2025, 8:32 am</div>Katika dunia ya sasa ambapo bidhaa za chakula zimejaa madukani na sokoni, ni muhimu sana kwa mlaji kuwa makini kabla ya kufanya uamuzi wa kununua. Hapa kuna mambo matatu ya msingi ambayo kila mtumiaji wa chakula anapaswa kuzingatia ambayo hata mimi mwenyewe huwa siwezi kununua bidhaa yoyote ya chakula bila kuangalia hayo mambo. Mambo yenyewe ni kama yafuatayo; 1. Angalia Tarehe ya Mwisho wa Matumizi (Expiry Date) Usinunue bidhaa yoyote bila kuangalia tarehe yake ya mwisho wa matumizi. Bidhaa zilizokwisha muda wake zinaweza kusababisha madhara kiafya, hasa kwa watoto na wazee. 2. Soma Lebo ya Bidhaa Lebo hukupa taarifa muhimu kuhusu: 》Viambato vilivyotumika 》Thamani ya virutubisho (nutritional value) 》Asili ya bidhaa (imezalishwa wapi) 》Maelekezo ya matumizi na uhifadhi Kusoma lebo kunakusaidia kufanya maamuzi bora kwa afya yako. 3. Angalia Ubora na Ufungashaji Bidhaa bora huja katika vifungashio safi, visivyoharibika, na vilivyofungwa vizuri. Epuka bidhaa zilizo na: 》Ufungashaji uliolegea au kuharibika 》Madoa, kutu, au harufu isiyo ya kawaida 》Bidhaa zisizo na jina la mtengenezaji au zenye maandishi yasiyoeleweka Kuwa mlaji makini ni hatua ya kwanza ya kulinda afya yako na familia yako.</blockquote><br>
Cancel
Login
Username or E-mail
*
Password
*
Login
Remember Me
Forgot your password?
Login with Google
error:
Content is protected !!
Insert/edit link
Close
Enter the destination URL
URL
Link Text
Open link in a new tab
Or link to existing content
Search
No search term specified. Showing recent items.
Search or use up and down arrow keys to select an item.
Cancel