Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Login/Register
Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Menu
Forum Navigation
Forum
Activity
Forum breadcrumbs - You are here:
Foodova Forum
Foodova®: Food Tech Forum
Usile hadi uhisi njaa ; usile baa …
Post Reply
Post Reply: Usile hadi uhisi njaa ; usile baada ya kushiba :
<blockquote><div class="quotetitle">Quote from <a class="profile-link highlight-default" href="#">aimlly</a> on October 28, 2023, 5:13 am</div>Tunakula kwa ajili ya njaa, ila mara nyingi huwa si hivyo, unaweza ukajichunguza. Asilani ni muhim sana kula mpaka utakapohisi njaa. Ni njia bora ya kusimamia ulaji wako lakini pia, chakula kinaonekana kuwa na mvuto na ladha zaidi. Hilo halipingiki. Kula kwa ajili ya sababu zengine sio vibaya, lakini yaweza dhuru ikiwa ndio tabia. Hiyo inasababisha kula zaidi ya unachohitaji na hicho ni kichochezi cha ongezeko la uzito pamoja na madhara yake yanayofuata. Tukigeuza shillingi, inashauriwa kuacha kula pale tu unapoanza kuhisi shibe na si zaidi ya hapo. Sababu ni hiyohiyo ya kuepusha kuzidisha viwango kuliko vinavyohitajika hasa kiwango cha wanga ambacho ndio huwa tunakula zaidi. Madhara mengine ya haraka ni kulevya na usingizi usiotarajiwa. <strong>NITAWEZAJE ?</strong> Njia mojawapo ni hii hapa. Ukiitazama sahani yako, pima asilimia 80 ya kile kiwango kinachotosha kukushibisha. Unaweza ukajiuliza kwanini? Sababu ni kuwa akili huchelewa kuitambua shibe kwa dakika takribani 20, kwahiyo mpaka unahisi shibe, tayari umeshakula kiwango zaidi. Hivyo basi tunapokula, nia iwe ni kuridhika na kuondoa njaa, sio kushiba. Na kula harakaharaka sana si vizuri kwani akili yako inahitaji walau dakika 20 kuitambua shibe, wakati huo wewe umeshaondoka mezani muda tu na inapelekea kula kiwango kingi zaidi kuliko unachostahili. Mwili wako ni mwerevu, njaa ni kiashirio kwamba mwili unahitaji. Kula hadi unapohisi njaa na kuacha pale unapoanza tu kuhisi shibe ni njia bora cha kula kile kiwango ambacho mwili wako unahitaji.</blockquote><br>
Cancel
Login
Username or E-mail
*
Password
*
Login
Remember Me
Forgot your password?
Login with Google
error:
Content is protected !!
Insert/edit link
Close
Enter the destination URL
URL
Link Text
Open link in a new tab
Or link to existing content
Search
No search term specified. Showing recent items.
Search or use up and down arrow keys to select an item.
Cancel