Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Login/Register
Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Menu
Forum Navigation
Forum
Activity
Forum breadcrumbs - You are here:
Foodova Forum
Foodova®: Food Tech Forum
Faida 8 za kunywa maji asubuhi
Post Reply
Post Reply: Faida 8 za kunywa maji asubuhi

Quote from Omari Kitula on December 9, 2024, 7:01 am
Kunywa maji asubuhi kuna faida nyingi kiafya. Hivyo hakikisha unakunywa glasi 1-2 za maji ya vuguvugu mara tu baada ya kuamka. Subiri dakika 30 kabla ya kusnza kula kifungua kinywa.  Hizi ni baadhi ya faida za kunywa maji asubuhi; 1. Kuondoa Sumu Mwilini Kunywa maji asubuhi kabla ya kula chochote husaidia kusafisha mwili kwa kuondoa sumu kupitia mkojo na jasho. 2. Kuchochea Mfumo wa Mmeng'enyo Husaidia kuanzisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (digestion) na kuandaa tumbo kwa ajili ya mlo wa siku. 3. Kuboresha Mzunguko wa Damu Maji husaidia damu kuzunguka vizuri mwilini, hivyo kuboresha afya ya moyo na ubongo. 4. Kulainisha Ngozi Husaidia kutoa sumu zinazoweza kuathiri ngozi na kufanya ngozi ionekane safi na yenye afya. 5. Kuimarisha Kinga ya Mwili Kuongeza unyevu mwilini kunasaidia mfumo wa kinga kufanya kazi vizuri na kupambana na magonjwa. 6. Kupunguza Uzito Kunywa maji asubuhi kunasaidia kuongeza kiwango cha uchomaji wa kalori (metabolism), hivyo kusaidia kupunguza uzito. 7. Kuzuia Tatizo la Kukosa Choo Maji asubuhi yanasaidia kulainisha mfumo wa chakula na kuzuia matatizo kama kuvimbiwa. 8. Kuongeza Nguvu na Uhai Kunywa maji hufanya mwili kuhisi mchangamfu, huondoa uchovu, na kuongeza nguvu ya kufanya kazi siku nzima na ndiomana tunasema maji ni uhai
Hakikisha unakunywa maji safi na salama ili kupata faida hizi kikamilifu.

Cancel
Login
Username or E-mail

Password

Login
Remember Me
Forgot your password?
Login with Google
error:
Content is protected !!
Insert/edit link
Close
Enter the destination URL
URL
Link Text
Open link in a new tab
Or link to existing content
Search
No search term specified. Showing recent items.
Search or use up and down arrow keys to select an item.
Cancel