Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Login/Register
Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Menu
Forum Navigation
Forum
Activity
Forum breadcrumbs - You are here:
Foodova Forum
Foodova®: Food Tech Forum
Chemsha bongo
Post Reply
Post Reply: Chemsha bongo
<blockquote><div class="quotetitle">Quote from <a class="profile-link highlight-default" href="#">aimlly</a> on September 2, 2024, 11:30 am</div>Katika jamii zetu, inajulikana wazi kwamba wanaume huwa wanakula mara chache kwa siku, lakini milo hio huwa imejizatiti, lakini kwa vile kazi na shughuli za wanaume huwa ni ngumu na harakati zao ni nyingi kwahiyo ile milo huwa inatumika vizuri mwilini. Hatuna wasiwasi juu ya hilo. Ukija upande wa pili, wanawake huwa wanakula kidogo ila wanakula mara kwa mara kushinda wanaume. Na wanawake huwa shughuli zao sio pevu kama za wanaume, jambo linalonifanya nijiulize juu ya matumizi ya wanga iliyopo kwenye chakula chao, na ukizingatia kuwa wengi hawafanyagi mazoezi na hata hawachezi. Isitoshe, wanawake ndio wanaongoza kula vyakula visivyo rasmi (junk foods) ambavyo tunajua sio salama sana kwa afya. Kinachokuja kunishangaza ni kwamba licha ya yote haya, wanawake huwa wanafanikiwa kuishi maisha marefu zaidi kuliko wanaume. Wataalamu kuna yeyote anayeweza kunipatia ufumbuzi katika hili?</blockquote><br>
Cancel
Login
Username or E-mail
*
Password
*
Login
Remember Me
Forgot your password?
Login with Google
error:
Content is protected !!
Insert/edit link
Close
Enter the destination URL
URL
Link Text
Open link in a new tab
Or link to existing content
Search
No search term specified. Showing recent items.
Search or use up and down arrow keys to select an item.
Cancel