Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Login/Register
Home
Forum
Marketplace
About Us
Blog
Food database
Menu
Forum Navigation
Forum
Activity
Forum breadcrumbs - You are here:
Foodova Forum
Foodova®: Food Tech Forum
MUDA SAHIHI WA KUFANYA MAZOEZI KW …
Post Reply
Post Reply: MUDA SAHIHI WA KUFANYA MAZOEZI KWA AFYA BORA
<blockquote><div class="quotetitle">Quote from <a class="profile-link highlight-default" href="#">dr.vitamins</a> on April 29, 2024, 10:55 am</div>Afya bora inajengwa kwa mlo mzuri ambao una virutubisho vingi kwaajiri ya kujenga mwili wako kama misuli na tissue Lakini pia katika kujenga mwili mazoezi ni kitu muhimu sanaaa. Na kuna aina tofauti tofauti za mazoezi lakini kikubwa ni kufanya mazoezi mepesi ambayo hayato kuumiza kama vile kukimbia <em>Na upi sasa ni wakati sahihi wakufanya mazoezi?.... </em> Muda na wakati mzuri wakufanya mazoezi ni <em>ASUBUHI .. kwasababu asubuhi kunakuwa na hewa nzuri ambayo haina uchafu na hivyo ukifanya mazoezi asubuhi itakujenga vizuri mwili wako bila madhara </em> <strong><em>kwa nini sio jihoni/ usiku.....</em></strong> Jihoni/ usiku ni muda ambao anga linakuwa limechafuka na moshi mbaya kutokana na shughuli mbali mbali za duniani kama vile kuchoma moto, moshi wa magari na manbo mengine kwahiyo ukifanya mazoezi muda wa usiku/ jihoni haita kujenga ki afya kwa sababu utakutama na hewa chafu ambayo haifai kwa afya ya binadamu.......</blockquote><br>
Cancel
Login
Username or E-mail
*
Password
*
Login
Remember Me
Forgot your password?
Login with Google
error:
Content is protected !!
Insert/edit link
Close
Enter the destination URL
URL
Link Text
Open link in a new tab
Or link to existing content
Search
No search term specified. Showing recent items.
Search or use up and down arrow keys to select an item.
Cancel