Forum Navigation

Swali kuhusu kula harakaharaka

Quote

Je kula harakaharaka kunaweza kusababisha matatizo yoyote au hakuna madhara yoyote ?

Advertise here
aimlly has reacted to this post.
aimlly
Quote
Quote from OBK on December 29, 2023, 11:37 pm

Je kula harakaharaka kunaweza kusababisha matatizo yoyote au hakuna madhara yoyote ?

Ndio kuna matatizo, yameelezwa vizuri kwenye article yenye kichwa cha " Usile hadi uhisi njaa........"

error: Content is protected !!