Forum Navigation

Suala la kula vyakula vizito usiku

Quote

Hivi ni kweli hatutakiwi kula vyakula vizito usiku?🤔

Advertise here
aimlly has reacted to this post.
aimlly
Quote
Quote from OBK on December 19, 2023, 9:39 am

Hivi ni kweli hatutakiwi kula vyakula vizito usiku?🤔

Ni kweli, haishauriwi kulala na bado mmeng'enyo wa chakula unaendelea tumboni

error: Content is protected !!