Forum Navigation
Forum breadcrumbs - You are here:Foodova ForumFoodova®: Food Tech ForumMaziwa

Maziwa

Quote

Kwanini baadhi ya watu wakinywa maziwa huwa yanawadhuru?

Advertise here
Quote

Hii kwa lugha ya kitaalamu wanaita lactose intolerance,ndani ya maziwa kuna aina ya sukari inayoitwa lactose hivyo kuna baadhi ya watu miili yao inashindwa kumengenya hii sukari hivyo kumpelekea mtu kupata dalili tofauti endapo atakunywa maziwa ,pia tunatakiwa kufahamu kuwa huu sio ugonjwa na upungufu tu wa mwili kushindwa kumengenya hii sukari iliyopo ndani ya haya maziwa

error: Content is protected !!